[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Brother umenifurahisha sana Dah uwezi kua mwenyeji kila sehemu na ukisema utafute wewe mwenyewe utakesha na kupoteza muda
Igunga au Nzega au Tabora au Singida au Babati au Kateshi Sumbawanga Laela Kabwe Mpanda na kwingine huko panawezekana brother sio huku.
Kimara mwisho njia ya kwenda bonyokwa kipo chumba sebule na choo ndani, Niko la kujitegemea na parking. Kodi 150,000/= hakuna gharama za udalali, luku ya kujitegemea, maji yapo pia. 2km from Morogoro Rd.