Natafuta nyumba ya kupanga

5star Hall

New Member
Joined
May 1, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Natafuta nyumba ya kupanga ya kujitegemea iwe na vyumba viwili au vitatu..master na kawaida,sebule,dining, jiko na parking mitaa ya kinondoni,mikochen,kijitonyama,
makumbusho,kurasin,tabata,mivinjen,sokota.
 
Nenda kawaone madalali pale manyanya kinondonì
 
Asante ila hao madalali ntawapata wapi hasa maana manyanya pakubwa kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…