Ndigwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 210 Reaction score 60 Nov 11, 2017 #1 Mwenye nayo tafadhali, gharama reasonable, na sehemu ya usalama. Ikiwa na uzio itakuwa vizuri.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,925 Reaction score 6,739 Nov 12, 2017 #2 Mkuu andika vizuri idadi ya vyumba unavyotaka na location ya nyumba ikiwezekana na bajeti yako itapendeza
Mkuu andika vizuri idadi ya vyumba unavyotaka na location ya nyumba ikiwezekana na bajeti yako itapendeza
K kupigakazi Member Joined Sep 17, 2014 Posts 53 Reaction score 13 Nov 13, 2017 #3 Ze Heby said: Mkuu andika vizuri idadi ya vyumba unavyotaka na location ya nyumba ikiwezekana na bajeti yako itapendeza Click to expand... Me nahitaji yenye vyumba 3 iwe ya kujitegemea kila kitu na iwe na fence maeneo ya Nyegezi, Mkolan na Buhongwa. Ikipatika kwa maeneo hayo naomba kujulishwa bajet yangu 2800000
Ze Heby said: Mkuu andika vizuri idadi ya vyumba unavyotaka na location ya nyumba ikiwezekana na bajeti yako itapendeza Click to expand... Me nahitaji yenye vyumba 3 iwe ya kujitegemea kila kitu na iwe na fence maeneo ya Nyegezi, Mkolan na Buhongwa. Ikipatika kwa maeneo hayo naomba kujulishwa bajet yangu 2800000