Natafuta Nyumba ya kupanga MOSHI

rudovick

Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
45
Reaction score
75
Habari wakuu

Kwa yeyote mwenye connection na dalali au mtu mwenye nyumba ya kupangashi moshi naomba msaada wa kuunganishwa nae.

Nimehamia Moshi na nimejitahidi kutafuta nimekosa.

Budget yangu isizidi Tsh 300k per month na na prefer zaidi kulipa kwa miezi 6

Natanguliza shukrani zangu .
 
0787292384 mcheki huyu mzee ana nyumba kali sana Moshi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…