Nyumba iwe ya vyumba vi 2 vya kulala,sebule na jiko.iwe na fensi na geti la kujitegemea lenyewe.nataka mtaa uliotulia yaani kila mtu kwake na kusiwe na uswahili.kuanzia segerea kuendelea ctaki.nataka mitaa ya huku mwanzoni.nyumba iwe nzuri sana na icwe kwenye mkondo wa maji na hz mvua.
laki 2..ukipata nipmtaja wastani wa monthly rate unayotarajia kulipa! na contact sio mbaya!
je upande mzma bei gani?vyumba unavyotaka wewe ni vidogo haviwezi kuwa na geti linalojitegemea ni lazima mtachangia geti tena utapata vyumba vya uwani.bora ungeku na uwezo wa kuchukua upande.Mimi si dalali ila nimepanga tabata kwa mda mrefu.
je upande mzma bei gani?
laki 2.5 mpaka 3 kutegemea na ubora.ngoja nikupe namba za madalali wa tabata 0716 231111,0717 501160,0715 471585 kati ya hao madali lazima mmoja ana nyumba,jaribu kuwapigia.[/QUOTEpoa nashkuru ngoja niwacheck]
tupo wengi tbt! kwa 2.5-3 bei hiyo ni lazima nyumba safi,laki 2.5 mpaka 3 kutegemea na ubora.ngoja nikupe namba za madalali wa tabata 0716 231111,0717 501160,0715 471585 kati ya hao madali lazima mmoja ana nyumba,jaribu kuwapigia.[/QUOTEpoa nashkuru ngoja niwacheck]