M mdau wetu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 548 Reaction score 62 Feb 23, 2012 #1 Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye infomesheni. Isipungue vumba vitatu, iwe na kila kitu ndani. nijulishe na gharama zake.
Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye infomesheni. Isipungue vumba vitatu, iwe na kila kitu ndani. nijulishe na gharama zake.