KIDUDU JF-Expert Member Joined Sep 17, 2012 Posts 2,557 Reaction score 1,927 Apr 8, 2013 #21 Enny said: Habari wana JF. Naomba kama kuna mtu anauza NOAHA iliyo katika hali nzuri wasiliane name. Asante Click to expand... Tembelea arusha mailing huwa wanatangaza vitu vizuri kwa bei ya kawaida, magari, samani na kadhalika, kila la kheri mkuu
Enny said: Habari wana JF. Naomba kama kuna mtu anauza NOAHA iliyo katika hali nzuri wasiliane name. Asante Click to expand... Tembelea arusha mailing huwa wanatangaza vitu vizuri kwa bei ya kawaida, magari, samani na kadhalika, kila la kheri mkuu
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,268 Apr 8, 2013 #22 KIDUDU said: Tembelea arusha mailing huwa wanatangaza vitu vizuri kwa bei ya kawaida, magari, samani na kadhalika, kila la kheri mkuu Click to expand... Mimi namshauri afungue ZOOM Tanzania zipo hapo kibao na simu za wauzaji atazipata ni kubofya tu hakuna cha Dalali
KIDUDU said: Tembelea arusha mailing huwa wanatangaza vitu vizuri kwa bei ya kawaida, magari, samani na kadhalika, kila la kheri mkuu Click to expand... Mimi namshauri afungue ZOOM Tanzania zipo hapo kibao na simu za wauzaji atazipata ni kubofya tu hakuna cha Dalali
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Apr 8, 2013 #23 unavocema Noah ya kununua ; kwan kuna za bure....!
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Apr 9, 2013 Thread starter #24 ChaterMaster said: unavocema Noah ya kununua ; kwan kuna za bure....! Click to expand... Ndio zipo za bure
ChaterMaster said: unavocema Noah ya kununua ; kwan kuna za bure....! Click to expand... Ndio zipo za bure
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Apr 9, 2013 #25 Enny said: Ndio zipo za bure Click to expand... zp hzo ...
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,074 Apr 9, 2013 #26 ChaterMaster said: unavocema Noah ya kununua ; kwan kuna za bure....! Click to expand... Haujui kuna za kukodi na za kuazima, au mwingine anatafuta noah yake imeibiwa!!!! btw, we ni mteja au unamzingua tu jamaa?
ChaterMaster said: unavocema Noah ya kununua ; kwan kuna za bure....! Click to expand... Haujui kuna za kukodi na za kuazima, au mwingine anatafuta noah yake imeibiwa!!!! btw, we ni mteja au unamzingua tu jamaa?
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,074 Apr 9, 2013 #27 KIDUDU said: Tembelea arusha mailing huwa wanatangaza vitu vizuri kwa bei ya kawaida, magari, samani na kadhalika, kila la kheri mkuu Click to expand... Wanapatikana wapi hao?
KIDUDU said: Tembelea arusha mailing huwa wanatangaza vitu vizuri kwa bei ya kawaida, magari, samani na kadhalika, kila la kheri mkuu Click to expand... Wanapatikana wapi hao?
jordanexpressco JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 203 Reaction score 8 Apr 13, 2013 #28 CYBERTEQ said: Wanapatikana wapi hao? Click to expand... wasiliana na me kupitia namba hii nitakutafutia Noah nzuri kwa bei nafuu +818048906644
CYBERTEQ said: Wanapatikana wapi hao? Click to expand... wasiliana na me kupitia namba hii nitakutafutia Noah nzuri kwa bei nafuu +818048906644
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Apr 13, 2013 #29 jordanexpressco said: wasiliana na me kupitia namba hii nitakutafutia Noah nzuri kwa bei nafuu +18048906644 Click to expand... Hiyo nur ni ya nchi gani usa?
jordanexpressco said: wasiliana na me kupitia namba hii nitakutafutia Noah nzuri kwa bei nafuu +18048906644 Click to expand... Hiyo nur ni ya nchi gani usa?