Ksongoro Member Joined Apr 1, 2016 Posts 57 Reaction score 24 Aug 5, 2019 #1 Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043
Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,084 Reaction score 62,002 Aug 5, 2019 #2 Utatumia njia gani darasa lote wapate A?
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,750 Reaction score 8,942 Aug 5, 2019 #3 Unajitolea ? Kwahiyo unataka kufundisha bure bila malipo au mm ndio sijaelewa?
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,585 Aug 5, 2019 #4 sawima said: Unajitolea ? Kwahiyo unataka kufundisha bure bila malipo au mm ndio sijaelewa? Click to expand... Naamini kwa kuanzia ni kujitolea ila baada ya kuongeza thamani,ufanisi na tija katika mukhtadha wa ufundishaji wahusika wanaweza mfikiria namna atakavojikimu!
sawima said: Unajitolea ? Kwahiyo unataka kufundisha bure bila malipo au mm ndio sijaelewa? Click to expand... Naamini kwa kuanzia ni kujitolea ila baada ya kuongeza thamani,ufanisi na tija katika mukhtadha wa ufundishaji wahusika wanaweza mfikiria namna atakavojikimu!
Executor JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 872 Reaction score 999 Aug 6, 2019 #5 Umezunguka katika mashule umekataliwa ndugu yangu, shule mbona ni nyingi sana anza ata za serikali bhasi...... Ksongoro said: Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043 Click to expand...
Umezunguka katika mashule umekataliwa ndugu yangu, shule mbona ni nyingi sana anza ata za serikali bhasi...... Ksongoro said: Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043 Click to expand...
M Matengura Senior Member Joined May 24, 2020 Posts 110 Reaction score 71 Oct 19, 2021 #6 Ksongoro said: Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043 Click to expand... Dada sasa masomo yaniashara so ufanye biashara atakama mtaji auna kila siku wanafundisha jinsi yakupata mtaj kuna biashara unaaza ata naelf kumi
Ksongoro said: Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043 Click to expand... Dada sasa masomo yaniashara so ufanye biashara atakama mtaji auna kila siku wanafundisha jinsi yakupata mtaj kuna biashara unaaza ata naelf kumi
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,322 Reaction score 56,058 Oct 19, 2021 #7 Uza maparachichi uzivhange urudi chuo dogo