Natafuta mwanamke mweupe, nampataje?

Nenda bara la Asia, Ulaya , America na Australia. Kwenye haya mabara utampata mweupe by nature bila kujichubua
 
Mimi nimemuacha nikupe namba zake? Maana mm nataka mweusi
 
Nenda china au Uarabuni
 
Hivi unajua kuwa weupe ni dosari na sio ubora?!

Kama unataka kujifunza zaidi nenda mtandaoni kasome kitu kinaitwa melanin ni nini?!

Kwa kifupi wewe una superior skin maana una aina kuu au mama ya melanin inaitwa Eumelanin ambayo ni the best.

Hivi mfano ukaambiwa mbegu zako zinatengeneza watoto wenye kinga kubwa sana ya mwili dhidi ya magonjwa, na unatakiwa ukutane na wanawake wenye mfumo kama wako ili ureproduce watoto wenye damu nzuri ya kinga ya mwili je, utawakwepa hawa wenye mfumo imara na kuwatafuta wadhaifu?!

Basi ndio swali lako limekaa hivyo.

Ukiona ngozi nyeupe yoyote ile jua ni upungufu na sio ubora. Hizi mentality za kutaka ngozi nyeupe ni misingi tumejengewa na wazungu tokea ukoloni ili tuamini race yao ni superior ila ni uongo wa wazi. Mzungu ni zao la mwafrika, katu huwezi kuta mzungu na mzungu kaproduce mtoto mwenye elements za uafrika ila mwafrika anaweza tengeza mzungu katika uzao wake. This means mwafrika ingawa yupo economically na socially behind , anabakia kuwa top class race inapokuja issue ya biological superiority.
 
Mimi ekspiriensi yangu kwa wanawake weupe sio nzuri, na hizi ni baadhi ya dosari nilizoziona kwa ambao nimeshapita nao:
1. Wanawake weupe hua wanajiona kama ni binadamu bora kuliko wengine, hivyo wanakuaga na maringo fulani na dharau. Kama tena ana kashepu ndio inakua balaa zaidi. Hua wanaamini kwamba rangi zao zinawabeba huwezi kum babaisha.
2. Kitandani hua ni sifuri. Uzoefu wangu wanawake weupe huaga ni wakavu sana hata umuandae saa nzima bado utelezi hakuna. Pia ni wabaridi hawanaga lile joto flani amazing. Hii inatupeleka kwenye point namba 3
3. Kiujumla, hua sio watamu. Yaani kifupi binafsi sijawahi kukutana na mwanamke mweupe akawa mtam kiviile kiasi cha kunipagawisha. Unakula basi tu lakini hamna mzuka kabisa..
4. Umri ukianza kusogea hua wanabadilika rangi espeshale sehemu za mapaja, usoni nk ama atakua mweusi au mwekundu au mchanganyiko wa izo rangi unless awe anajitunza sana. Pia michirizi tumboni, kifuani na sehemu zingine za mwili huwa dhahiri.
5. Wengi hua hawajatulia wanarukiwa sana.

Tafuta hii rangi mkuu utakuja kunishukuru..


 
Unaweza pata mweupe bado watoto wakawa weusi

#Genetics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…