Habari Natafuta Mwanamke Wa Kuoa Mwakani,elimu Yangu Ni Shahada Ya Biashara (uhasibu),naishi dar,umri wangu ni miaka 31.nimtakae awe na miaka 25-33,awe mweupe,asiwe na mtoto,elim shahada,mwenye mapenz ya dhati na mvumlvu,ambae anahofu ya mungu,alie jiajiri au kuajiriwa.nahitimisha karibu sana