Tafadhali kabla hujaanza kupokea hizo CV nakushauri ujifunze kwanza nini maana ya ndoa....Kama unafikiri ndoa inaweza kuwekewa matangazo kumtafuta wa kuingia nae hapo sina msaada ila ndoa ni zaidi ya unavyodhani. Kama swala ni mke wako wengi sana tena nakushangaa kuja kutangaza huku wakati kila kona wapo. Mwisho nikutakie mafanikio kama unamaanisha.