Natafuta mume, awe HIV+

Hongera sister, wote tungekuwa hivi wala transmission isingekuwa kwa kiwango kikubwa sana.

Utapata hata -ve sio lazima awe +ve, kila la heri.
Asante sana ERoni
 
Ukiwa HIV + ukazingatia dawa ukimwi utausikia tu kwenye radio. Hongera kwa kuwa muwazi, Ila ninakushauri upate nae anaezingatia dawa.
 
Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.

Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....

Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
Mimi ni wewe 💯 Sina huo ujasiri
 
Pole sana but keep your faith life still exists
 
Upweke noma unahitaji kidume ndani ya nyumba bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…