Natafuta mume, awe HIV+

Hiko kigezo cha hiv positive ni kidogo BabyMamy, Sasa jaribu kuongeza hapo unazigo balaa ..
Nakwambia dakika 5 nyingi utaona PM itakavyofurika na CV za waja
.
NB : Just a joke
Uongo dhambi bwana mie Nina Figure ya kizungu
yan Ile Hamna kituuu
Kama ni kushika shika mchumba ajiandae kushika neno la Mungu
 
Tafuta magome ya Mzambarau halafu yachemshe unywe lita moja asubuhi, lita moja mchana na usiku lita moja. Kwa muda wa mwezi mzima na baada ya hapo nenda clinic ukapime. Utanishukuru
Mmh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…