Nduhu tabu
Member
- Jul 21, 2017
- 90
- 99
Siyo kweli.Nasikia watu wanalima kwa uchawi huko??
Mbali kwa maana gani bossMBONA YAKO MBALI MBALI SANA AU MSIMU SIO MZURI
Kulinganisha na wapi MkuuMBONA YAKO MBALI MBALI SANA AU MSIMU SIO MZURI
Ondoa hiyo avatar yako ubadili na jina utaziona neema za Mwenyezi Mungu leo hii.Natafuta mteja wa kununua tikiti. Shamba lina ukubwa wa hekari4 wastani wa uzito wa matunda ni kg8,10,6,5
Shamba lipo ushirombo-Geita
0629306194View attachment 1693385
View attachment 1693387View attachment 1693386
Duh hiyo nayo sababu etii.Ondoa hiyo avatar yako ubadili na jina utaziona neema za Mwenyezi Mungu leo hii.
Hilo pepo kwa avatar yako ndio linakula uchumi yako
Ondoa hiyo avatar tafadhaliDuh hiyo nayo sababu etii.
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]Ondoa hiyo avatar tafadhali