Natafuta mteja wa chap chap nauza tv mpya inch 55 aiwa, imekufa kioo. Bei alfu 70 mazungumzo yapo.

Oct 31, 2021
32
53
Tv ipo dar es salaam location za mansese, tv ni mpya kabisa lakini imekufa kioo tu. Kwa iyo nauza hivyo hivyo ilivyo. Naposema nauza tv iliyokufa kioo sio wote watanielewa! Taarifa hii inawahusu watu wachache sana, Call 0783 708437.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 20230808_124925.jpg
    16.7 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…