Kwani wanalipwa bei gani mkuu ,mbona hata wadogo zake MASAMAKI Wanawalipa hivyo...kumbuka yuko secured afya,mavazi ,malazi, bla kutaja chakula! Mkuun tuwe wakweli ni hawa watu wanawatesa na kuwabagua ndio wanaharibu...otherwise kwangu ekfu 60 ataishi maisha mazuri kuliko wafant=yakazi wa makampuni ya ulizi .a na usafi wanailipwa 100,000/- !