Tatizo siyo kukopeshwa mkopeshaji yoyote anapaswa kujiuliza utalipaje? pia uwe na dhamana. Kama ni mfanyakazi unaweza kukopa personal loan benki au tafuta NGO Au saccos zinazokopesha.
Afadhali wewe kaka umetambua shida ya jamaa yetu, hawa wengine option zao ni hewa tu,Benk, saccos ni process na pia utoe kiasi ili ufanikiwe,Utachelewa.