Natafuta mke

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,700
Reaction score
9,070
Habari za weekend

Najitokeza hapa kutafuta yule ambaye atakuwa wangu katika shida na raha, mimi ni mfanyakazi kwenye shirika la umma nina shahada ya juu ya uhasibu umri wangu 31, natafuta mwanamke umri 27-30 awe hatumii kileo/kilevi maana mimi pia situmii awe pia tayari kuishi mkoani.

Aliye tayari PM ni hayo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…