Ngoja wajeJamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke.
Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY
Elimu yangu ni diploma ya sheria.
Nimeajiriwa katika ki aasisi fulani (sio mfanyabiashara).
Dini yangu Mkristu.
Sivuti sigara wala bangi, sinywi POMBE
Aiseee mi mweusi (unaetaka white man shakukosa najua).
Vigezo nnavotaka
Mwanamke asiwe mfupi sanaaaa
Kama una mtoto basi awe anakaa kwa baba ake au bibi ake.
Sichagui dini.
Elimu yoyote ile ila angalau darasa la saba itapendeza.
Awe ana jishughulisha sio goli kipa.
Kutokana na Maelezo yako, wewe ni mchoyo, unaanza na Mtoto baadaye ndugu wa mke wakitaka kuniona niwafuate hasa mama maana ndiye anayeishi na mwanangu, mawazo yangu tu, ke wenzake mume huyo vigezo na masharti yake kuzingatiwaJamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke.
Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY
Elimu yangu ni diploma ya sheria.
Nimeajiriwa katika ki aasisi fulani (sio mfanyabiashara).
Dini yangu Mkristu.
Sivuti sigara wala bangi, sinywi POMBE
Aiseee mi mweusi (unaetaka white man shakukosa najua).
Vigezo nnavotaka
Mwanamke asiwe mfupi sanaaaa
Kama una mtoto basi awe anakaa kwa baba ake au bibi ake.
Sichagui dini.
Elimu yoyote ile ila angalau darasa la saba itapendeza.
Awe ana jishughulisha sio goli kipa.
Kulea mtoto wa kambo ni kazi sana.Kutokana na Maelezo yako, wewe ni mchoyo, unaanza na Mtoto baadaye ndugu wa mke wakitaka kuniona niwafuate hasa mama maana ndiye anayeishi na mwanangu, mawazo yangu tu, ke wenzake mume huyo vigezo na masharti yake kuzingatiwa
Kutokana na Maelezo yako, wewe ni mchoyo, unaanza na Mtoto baadaye ndugu wa mke wakitaka kuniona niwafuate hasa mama maana ndiye anayeishi na mwanangu, mawazo yangu tu, ke wenzake mume huyo vigezo na masharti yake kuzingatiwa
Hii ya mtoto awe kwa bb mwenyewe imenishtua
Nikue mara ngapi hebu iangalie hiyo namba hapo juu, ndio maana nikaandika nilichoandikaKulea mtoto wa kambo ni kazi sana.
Kuwa uyaone.
ShikamooNikue mara ngapi hebu iangalie hiyo namba hapo juu, ndio maana nikaandika nilichoandika
Halafu kwa taarifa yako familia zenye kujielewa Mtoto huwa anabaki nyumbani bila hata ya wewe kusema labda umtake, Sasa ukitoa sharti hilo hawakupi mke kabisa hata kama mmependana na ke akilazimisha anasusiwa mwanae aondoke nayeKulea mtoto wa kambo ni kazi sana. Malalamiko, lawama na figisu zitanitoa ngeu aisee
Hata ufanye jambo gani utaonekana mbaya
MarahabaShikamoo
Halafu kwa taarifa yako familia zenye kujielewa Mtoto huwa anabaki nyumbani bila hata ya wewe kusema labda umtake, Sasa ukitoa sharti hilo hawakupi mke kabisa hata kama mmependana na ke akilazimisha anasusiwa mwanae aondoke naye
Style ipi ya kuapproach unayoizungumzia?Badilisha style ya kuapproach..yawezekana ni tatizo
Sisi wanawake huwa makini sana ktk hilo eneo.ko ukiwa na approach mbaya hata kma sina mtu ntakwambia tu ninae..
Pole sana and all the best
Ni sawa.Halafu kwa taarifa yako familia zenye kujielewa Mtoto huwa anabaki nyumbani bila hata ya wewe kusema labda umtake, Sasa ukitoa sharti hilo hawakupi mke kabisa hata kama mmependana na ke akilazimisha anasusiwa mwanae aondoke naye
Kweli nimeishudia hiyo sehemuNi sawa.
Lakini ukimkuta mwanamke wa kinyakyusa amezalishwa na ukamuoa jua unaoa mke wa mtu lazima mbeleni uje ujute. Anaweza akaishi nawe na mkazaa watoto lakn siku moja akarudi kwa yule wa kwanza.
Mnaooa masingle mother kuweni makini na wanyakyusa vinginevyo yule wa kwanza awe masikini.