Mm ni mtanzania nisiye na makuu naitaji mwenza kma maandiko yavyosema mwanamke atamuacha mamaye na babaye na kuambatana na mumewe wawe kitu kimoja cbagui dini wala kabira umri kuanzia miaka 20-29 elimu kuanzia kidato cha nne
Mimi sijakuelewa sijui wenzangu humu.kwanza jinsia yako haijulikani pili unayemtaka aweje.umenukuu maandiko tu hapa sijui umesahau kuna jukwaa la dini hapo jirani?