Mkuu, mimi ni mwanaume wa shoka!Sasa wewe jinsia yako ipi husemi unaweza kupata mwanaume mwenzio au mwanamke mwenzio
Wajawazito tunaruhusiwa kuapply?
Unataka Mchumba kutoka UKAWA ama ACT?
We ni ke??
Wapo kwenye keybodi wanakuja.
Ukifanikisha, tujuze nasi tujaribu
Ina maana mwenye huo ujauzito kakutosa?
Mwambie siku akiwa tayari kuwa na mtoto akutafute muendelee....Et anasema hayupo tayari kuwa na mtoto hivyo niitoe namimi sitaki kuitoa
Apply kwangu.Wajawazito tunaruhusiwa kuapply?