Are you serious? Nakushauri uende kanisani kwa maombi, kufunga na kusali kwa siku 40, na utafanikiwa! Kama huwezi nenda hapo Amsterdam Pub, Ambrosia, Limeric Pub, Target na Open beach kule girafe na whitesands utapata tena bikra! Ikishindikana kabisa nenda kona bar! Nafikiri hapa kichwa chako kitajua ipi sembe na ipi ni pumba!