Mimi ni mvulana wa miaka 27 nafanyia kazi serikalini nikiwa kama afisa msafirishaji, natafuta mwenza niishi naye awe dini yeyote. Aliyetayari namkaribisha.mawasiliano.ukimbile@yahoo.com
Kwel elimu inahitajika looh! Iyo nafasi IPO inaitwa transport officer (TO) na hiyo course IPO inatolewa chuo cha usafirishaj inaitwa transport and logistics management na ndio inazalisha hao maofisa wa usafirishaji