KING_ETHAN
Member
- Oct 4, 2014
- 21
- 0
Unamtafuta aliyesiriaz ilhali wewe hauko siriaz kiasi hata husemi wewe ni jinsia gani.Habari zenu wadau,
Natafuta Mchumba wa kufanya nae maisha, awe na umri kuanzia 20 - 26, kabila lolote kasolo Mzalamo, Awe mkristo mwenye kumuogopa Mungu, hata asipokuwa na kazi sawa, ilimradi awe mkweli na aliyeumizwa na kuelewa maumivu ya mapenzi.
kwa aliyesiriaz ani PM. niko Kigoma kwa sasa ila naishi Dar
(sijaelewa upo kigoma kwa sas ila kwa sasa unaishi dar? inaelekea mguu upo kigoma mwili upo dar)Habari zenu wadau,
Natafuta Mchumba wa kufanya nae maisha, awe na umri kuanzia 20 - 26, kabila lolote kasolo Mzalamo,(inaelekea wazaramo una kesi nao) Awe mkristo mwenye kumuogopa Mungu(hakuna asie muogopa mungu dunia hii), hata asipokuwa na kazi sawa(utakubali awe goli kipa), ilimradi awe mkweli na aliyeumizwa na kuelewa maumivu ya mapenzi.(sijaeewa mantiki yako awe kaumizwa???kwanini?)
kwa aliyesiriaz ani PM. niko Kigoma kwa sasa ila naishi Dar
bora useme wewe brigedia manyota, mamaafacebook ananinyanyasa kwakuwa yeye anawake etii:angry:
namaanisha wewe unaye wako wa ku........ndomana unani nyasa nyasa:angry: