Mimi ni male miaka 25-30 natafuata mchumba wa kike (mashoga mkae mbali),
awe na miaka kuanzia 18-26, elimu kuanzia kidato cha nne na zaidi, kabila lolote, dini ni lazima awe mkristo mwenye hofu ya MUNGU.
nipo serious kabisa,msichana alie tayari ani PM