Nimeupenda ujumbe wako baada ya kumaliza tangazo lako... Kila la heri.!
All the best ndugu, Mungu akutane na hitaji la moyo wako!
Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona ( methew 7:7-8) yeye aichunguzaye mioyo akakupe sawa sawa na haya ya moyo wako ktk jina la Yesu,
Ameen!!
hapo nina sifa mbili tu,,,, umri na akili ya maisha!!!!! will u consider me????
kila laheri mkuu ila sijajua unasali kanisa gani la SDA japo naamini mke anapatikana, popote ila nakushauri kwa hiyo imani yako sali sana na kuhudhuria kanisani, kama kanisa unalosali hujaona yapo makanisa mengi ya kisabato hapa dar, pia wasabato tuna mikutano mingi ya vijana, matamasha mbalimbali unaweza kubarikiwa, KUMBUKA USIFUNGE NIRA PAMOJA NA ASIEAMINI
Hayaaa km kabila na kaz c must