Natafuta mchumba wa kunioa aliye na niya ya dhati yakuanza maisha mapya ya familia. umri miaka 43- 47 awe mkrito na mcha Mungu. vigezo na masharti kuzingatiwa. I am very seriously
Umri wangu bado haujapita ila nataka mwanaume mwenye umri huo sipendi mabrother men wasio na msimamo. Namaanisha mwenzenu. Naomba mwenye kigezo hicho cha umri ani inbox kwani vigezo na masharti vinazingatiwa
Kwa umri wa huyo mwenza unayemtaka itakuwa ngumu kuanza naye maisha mapya! Inavyoonekana unatafuta majanga! Me nakushauri uende vyuo vya uchungaji! Huwa kuna watu wa umri huo watakufaa sana