Natafuta mchumba wakuishi nae

Unanikumbusha kaka yangu mmoja nae alikuwa anatafuta mchumba kwa style kama yako ili wakija awafanyie interview. And that was way back in 2007.

All the best kijana.
 
Mchumba kwenye social networks. Subiri watakuja ila usije ukarudi tena hapa kulialia maana watakuliza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…