Natafuta mchumba-wakike

duhhhhhhhh ukimpata ina maana leo leo unampeleka church
 
Ahahaha,what a wonderous world,

Kila la kheri mkuu,ukimpata turushie japo pics za harusi tushuhudie
 
Du yaaani unakompeleka ni kwenye majanga kwa nn usiende kutafuta huko kanisani unataka unafiki wewe .
 
duhhhhhhhh ukimpata ina maana leo leo unampeleka church

Nakuambia dunia sasa ni tambala bovu kila mmoja na viroja vyake.hakika Mungu anamoyo mkuu sana fikiri anatafuta akimpata anampeleka kanisani kufanya nn au ni technic ya kuhubiri kileo.
 
Miye nshavaa shela hapa haya njoo baba natangulia kanisani kabisaaaa!!
 
hahahaha! Miss kamata fursa hiyo!! Miye matroni!sijala ubwabwa wa harusi siku nyingi vijana wamegoma kuwowa!

hahahahahaha we Munkari hufai kabisaaa utaniingiza mkenge
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…