meshack eddy
Member
- Jan 9, 2015
- 66
- 26
Financial status........
n mfanyakaz katika kampuni fulan apa mjiniFinancial status........
mkuu 25umri wako tuu huujui.. kati ya 24 na 26 means what mkuu.. taja tu kama ni 24,25 au 26
Financial status........
umri wako tuu huujui.. kati ya 24 na 26 means what mkuu.. taja tu kama ni 24,25 au 26
Mjini..... Mwanza, Dar, Mbeya, Iringa, Tanga, Arusha, musoma, Bariadi, Mombasa, Kisumu, kampala, songea, nairobi au Zanzibar? kuwa muwazi mkuun mfanyakaz katika kampuni fulan apa mjini
Dar es salaamMjini..... Mwanza, Dar, Mbeya, Iringa, Tanga, Arusha, musoma, Bariadi, Mombasa, Kisumu, kampala, songea, nairobi au Zanzibar? kuwa muwazi mkuu
Siamesema hataki utani..!?
Nani ametania mkuu........?.......
Wewe,tena strictly joke.lol
age yko mbona bado