principles
Member
- Nov 17, 2017
- 30
- 10
Kla la kherHabari za wakati huu...
Tunapoelekea kumalizia mwaka na kuanza mwaka mwingine pia naendelea kuwa kurudia kutangaza tenaaa kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25..
Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea
Asiwe kibonge sana wala mwembambamba sana
Dini yoyote ile..
Sifa zangu za awali Elimu degree moja mrefu wastani wa futi tano
Sifa zingine PM zaidi karibuni
Mwelekeze wanatafutwa wapi?Mchumba hatafutwi kama bidhaa kwenye social media mkuu
Popote tu bt kwanza lazima msomane tabia kabla ya kuanzisha mahusiano..Mwelekeze wanatafutwa wapi?
Kakuambia kuwa akimpata anafunga nae ndoa leoleo?Popote tu bt kwanza lazima msomane tabia kabla ya kuanzisha mahusiano..
Kakuambia kuwa akimpata anafunga nae ndoa leoleo?
Mwite Kwa nguvuDemiss pita huku
Wakija 2 nigawie nami mmoja
UmeshapataHabari za wakati huu...