Sorry Mkuu, mie sio muuzaji,
lakini umejiandaa kwa Kiasi gani kama gharama ya Kununua??
Na Hicho Kiasi umeona huwezi kupata Mpya from ofisini kwao??
Maana unaweza ukanunua kwa mtu kwa bei ile ile ya Ofisi au hata kama ni cheaper lakini kile kiwango ulichookoa kwa kununua Used haki-justify usumbufu utakaoupata kununua kitu used