Wadau,mji wa Dar unafanyiwa marekebisho,New master plan itatoka soon,wakazi wa Dar wengi wataathirika ,Tulieni kwanza na ununuzi wenu huo wa viwanja mtakuja kulia.
Karibu Kitunda Magore kwa Mpemba. Umeme na barabara hadi kwenye kiwanja. Pamepimwa locally lakini pamepangika kimtaa.
Size portion mbili zenye Sqmt 50 X 50. Vyote kwa pamoja ni 30M X 30. Au square meter 900 na point.
Karibu sana.
Bei ni 14.6
Maongezi yapo pia. Kwa mtu anaye hitaji sehem ya kujenga na kuhamia ukiwa na Umeme na Maji, hapa sio pa
Kukosa.
Kwa yale uliyotenda jana sikutegemea kukuona leo, kwa bei hyo vpo mkuu na nilishaonyeshwa, tatizo sio km nilivyokuwa nataka, ndio maana nikasema pia inategemea na sehem na factor nynginezo