E eddy king jr. Member Joined Aug 29, 2014 Posts 12 Reaction score 0 Aug 31, 2014 #1 Natafuta kiwanja Mbeya, kikubwa cha kutosha na parking.
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Aug 31, 2014 #2 nenda sokoine stadium naskia unaparking ya kutosha
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Aug 31, 2014 #3 maelezo yako hajitosherezi, kwanza mbeya ni kubwa. unamaanisha mbeya mjini ? au sehemu yoyote ya mkoa wa mbeya? alafu inawezekanaje kiwanja hambacho hakijajengwa kikawa na parking area?
maelezo yako hajitosherezi, kwanza mbeya ni kubwa. unamaanisha mbeya mjini ? au sehemu yoyote ya mkoa wa mbeya? alafu inawezekanaje kiwanja hambacho hakijajengwa kikawa na parking area?
E eddy king jr. Member Joined Aug 29, 2014 Posts 12 Reaction score 0 Sep 1, 2014 Thread starter #4 kumbe unasikiaة...endelea kusikia!
E eddy king jr. Member Joined Aug 29, 2014 Posts 12 Reaction score 0 Sep 1, 2014 Thread starter #5 weka yako yanayo jitosheleza yangu kwa mwenye ubongo yeyote nadhani kanielewa.