Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni) Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr
Kiwanja kipo Mbezi kwa Msuguri. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepimwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Inawezekana kupunguza baada bei ya mazungumzo. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.