T tpmazembe JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 2,469 Reaction score 588 Jul 2, 2014 #1 Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu?
Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu?
Mkulima Jr JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 298 Reaction score 396 Jul 20, 2018 #2 tpmazembe said: Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu? Click to expand... Mimi pia nimenunua mashambaa kisarawe kama bado unahitaji nicheki inbox na wakazi wengi k ule wanauza maeneo naweza kukuunganishaa nao
tpmazembe said: Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu? Click to expand... Mimi pia nimenunua mashambaa kisarawe kama bado unahitaji nicheki inbox na wakazi wengi k ule wanauza maeneo naweza kukuunganishaa nao
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jul 26, 2018 #3 Mkulima Jr said: Mimi pia nimenunua mashambaa kisarawe kama bado unahitaji nicheki inbox na wakazi wengi k ule wanauza maeneo naweza kukuunganishaa nao Click to expand... wanauza bei gani hayo mashamba uko kisarawe? kwa heka
Mkulima Jr said: Mimi pia nimenunua mashambaa kisarawe kama bado unahitaji nicheki inbox na wakazi wengi k ule wanauza maeneo naweza kukuunganishaa nao Click to expand... wanauza bei gani hayo mashamba uko kisarawe? kwa heka
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,943 Reaction score 37,833 Jul 26, 2018 #4 tpmazembe said: Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu? Click to expand... Unataka kisarawe mjini au kisarawe vijijini?
tpmazembe said: Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu? Click to expand... Unataka kisarawe mjini au kisarawe vijijini?
L Lugulu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 482 Reaction score 176 Jul 30, 2018 #5 Mkuu bado yapo mashamba? Je ni umbali gani toka kwa barabara? Heka moja bei gani? Ni PM twongee...
NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,665 Jul 30, 2018 #6 mkuranga anayehitaji yapo kitonga na mwanadilatu unaweza pitia njia ya mvuti au mmbande. 3m per acre
exit JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 1,670 Reaction score 1,812 Jul 31, 2018 #7 Kila Mtanzania analima au anataka kulima sasa hivi. Tusubiri poromoko la mazao ..
I iddhassan Senior Member Joined Jul 26, 2016 Posts 100 Reaction score 134 Jul 31, 2018 #8 Ninalo nauza heka saba.kisarawe mwanzo mgumu.milioni saba tu
E Eduin Senior Member Joined May 15, 2014 Posts 189 Reaction score 136 Jan 30, 2019 #9 kuna anaeitaji shamba bado? mim nauza sahamba/kiwanja 20*20 lipo km3 kutoka kisarawe mjini na mita 20 kutoka barabara kuu ya lami. nipe 2.5M
kuna anaeitaji shamba bado? mim nauza sahamba/kiwanja 20*20 lipo km3 kutoka kisarawe mjini na mita 20 kutoka barabara kuu ya lami. nipe 2.5M