Naka boy JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 321 Reaction score 110 May 16, 2014 #1 Jamani mimi nahitaji kiwanja katika jiji la mwanza sio lazima katikati ya mji hata nje ya mji kisizidi Tsh 1,500,000/=
Jamani mimi nahitaji kiwanja katika jiji la mwanza sio lazima katikati ya mji hata nje ya mji kisizidi Tsh 1,500,000/=
Naka boy JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 321 Reaction score 110 May 16, 2014 Thread starter #3 eponsianus said: uko wapi kaka Click to expand... Kwa sasa nipo likizo ya kikazi ila makaz ni Shinyanga
eponsianus said: uko wapi kaka Click to expand... Kwa sasa nipo likizo ya kikazi ila makaz ni Shinyanga
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,682 Reaction score 4,575 May 16, 2014 #4 mkuu kwa mwanza for now offer yako ni ndogo sana sio rahisi kupata kwa hiyo bei
F fisi 2 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 3,284 Reaction score 4,651 May 16, 2014 #5 Tafuta walau milioni 6 upate kilichopimwa acha hivyo vya migogoro
M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 256 May 17, 2014 #6 Naka boy said: Jamani mimi nahitaji kiwanja katika jiji la mwanza sio lazima katikati ya mji hata nje ya mji kisizidi Tsh 1,500,000/= Click to expand... Unalijua vizuri Jiji la Mwanza Mkuu? Kwa Sh. 1,500,000/= kilichopimwa? Kwa bei hiyo jaribu kutoka kidogo nje ya Mwanza, Mf. Usagara, Missungwi, Kisesa, n.k. Anyway, nisikukatishe tamaa, we never know!
Naka boy said: Jamani mimi nahitaji kiwanja katika jiji la mwanza sio lazima katikati ya mji hata nje ya mji kisizidi Tsh 1,500,000/= Click to expand... Unalijua vizuri Jiji la Mwanza Mkuu? Kwa Sh. 1,500,000/= kilichopimwa? Kwa bei hiyo jaribu kutoka kidogo nje ya Mwanza, Mf. Usagara, Missungwi, Kisesa, n.k. Anyway, nisikukatishe tamaa, we never know!