Natafuta kiwanja Kimara - Mbezi

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Maeneo ya Kimara up to Mbezi Mwisho kwa tsh 3,000 000/= kwa ambae anacho.
 
Mkuu kwa bei hiyo hata Maramba mawili hupati. labda misugusugu na uingie ndani kilometa kadhaa.
Temboni Kimara 20 * 20 ni 15 mpaka 20 m. kajipange upya.
 
nenda kanunue maeneo ya kigamboni kisarawe 2.ukielekea na dsm zoo.20*20 kwa 4•5 milion
 
Mkuu kwa bei hiyo hata Maramba mawili hupati. labda misugusugu na uingie ndani kilometa kadhaa.
Temboni Kimara 20 * 20 ni 15 mpaka 20 m. kajipange upya.

Mbona malamba mawili nimepata kwa 2.5wewe ndo utafute vizuri kaka usitake kukatisha tamaa watu
 
Mkuu kwa bei hiyo hata Maramba mawili hupati. labda misugusugu na uingie ndani kilometa kadhaa.
Temboni Kimara 20 * 20 ni 15 mpaka 20 m. kajipange upya.

ujuaji mwingine unakifanya uonekane juha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…