wounded man
Senior Member
- Feb 2, 2019
- 165
- 243
Yaani milioni mbili kiwanja kilichopimwa DarWakuu
Kwa mwenye kiwanja ambacho kinauzwa, kilichopimwa kisiwe mabondeni kisiwe mbali huduma za jamii, kwa kifupi kisiwe porini
Bajeti kisizid m2:
MmmmhKama unataka kisiwe porini nenda Posta na Kariakoo. Viwanja Dar hakuna vimebakia Pwani
Ndiyo kwan havipo?Yaani milioni mbili kiwanja kilichopimwa Dar
Ahsante sana mkuu tena asantePole kwa majeraha wounded man
Hakuna kabisaNdiyo kwan havipo?
Kwan chanika haipo mkoa wa dsmMoja: Huwezi kupata kiwanja kilichopimwa Dar ( chenye hati miliki) kwa milioni 2 labda kama wewe mgeni Dar Es Salaam.
Pili: Huwezi kupata kiwanja cha Milioni 2 mjini achilia mbali kilichopimwa hata kisichopimwa. Hapa namaanisha maeneo ya Kinondoni yote, Ilala yote, Buguruni yote, Tabata yote, Temeke etc.
Tatu: Huduma za jamii kwa Dar Es salaam zinapatikana sehemu zote kuanzia mijini hadi nje ya mji.
Nne na mwisho: karibu chanika kuna viwanja hadi vya Milioni 1.5