Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,879
- 22,068
Ngoja nami nifuatilie watakaokuja humu.Wakuu nina Milion 4.5 tsh natafuta kiwanja eneo la goba lenye ukubwa wa mita za mraba 400 yaani 20/20.
Kama unajua au una kiwanja Njoo unifanyie biashara
Tusubiri mkuuNgoja nami nifuatilie watakaokuja humu.
umepata tayari au bado ?Wakuu nina Milion 4.5 tsh natafuta kiwanja eneo la goba lenye ukubwa wa mita za mraba 400 yaani 20/20.
Kama unajua au una kiwanja Njoo unifanyie biashara
Unacho nn?umepata tayari au bado ?
BadoUnacho nn?
Mkuu KWA GOBA sasa hivi huwezi kupata kiwanja KWA bei hiyo, vipo kuanzia M 6 maeneo ya madaleWakuu,
Nina Milion 4.5 tsh natafuta kiwanja eneo la Goba lenye ukubwa wa mita za mraba 400 yaani 20/20.
Kama unajua au una kiwanja njoo unifanyie biashara.
Kama bado hujapata kiwanja mimi ninacho 21 kwa 20 mbezi Msakuzi. Bei ya mwisho kabisa 5M. Miundo mbinu mizuri sana na umeme uko hapohapo site. Piga 0754 773881 kwa maelezo zaidiWakuu,
Nina Milion 4.5 tsh natafuta kiwanja eneo la Goba lenye ukubwa wa mita za mraba 400 yaani 20/20.
Kama unajua au una kiwanja njoo unifanyie biashara.
Msakuzi ipi mkuu, kule kwa Asenga?Kama bado hujapata kiwanja mimi ninacho 21 kwa 20 mbezi Msakuzi. Bei ya mwisho kabisa 5M. Miundo mbinu mizuri sana na umeme uko hapohapo site. Piga 0754 773881 kwa maelezo zaidi
kwa bei hii ni kumu kupata, labda kwa ndani ndani sana tena hiyo ni ndogoWakuu,
Nina Milion 4.5 tsh natafuta kiwanja eneo la Goba lenye ukubwa wa mita za mraba 400 yaani 20/20.
Kama unajua au una kiwanja njoo unifanyie biashara.