Natafuta kiwanja DSM.

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Natafuta kiwanja, chenye ukubwa wowote na mahali popote DSM. Ila itakuwa vizuri zaidi kikiwa maeneo ya Temeke. 0653422776.
 
Natafuta kiwanja, chenye ukubwa wowote na mahali popote DSM. Ila itakuwa vizuri zaidi kikiwa maeneo ya Temeke. 0653422776.
Wewe ulikua Dalali wa viwanja mkuranga, leo unatafuta Kiwanja??
Au unamtafutia mtu?
 
Kuna jamaa yangu namtafutia kiwanja Dar es salaam. Kwa maana yeye hataki cha Mkuranga.
 
Una hela? Kipo masaki sq meter 2000 chole road mil.900 ni pm
 
Makongo juu vipo,
plot of 70m*70m still available.
another 25m*30m available.
all in good location, tambalare vyote..
nicheck hapa 0756547184
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kinyerezi-Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepimwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…