Kwa dodoma ni vizuri sana mtu akanunua kiwanja CDA au kwenye kampuni zinazoeleweka. Serikali haitaki kurudia makosa yaliofanywa kwenye miji mikubwa kama DSM. Dodoma kila kipande cha ardhi kitapimwa, kwa kufuata miundo mbinu na mipango iliopo,ukinunua kiwanja ambapo sio makazi, katika kukipima ukataka ukifanye makazi hilo HALIPO. Kuweni makini sana na Dodoma.