mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
Karibu boñyokwa utoke vigimbi chapSpecification
-Kiwe sehemu tambarare
-Kisiwe mbali sana na barabara (Morogoro road) 800 to 1km
-Kuanzia sqm 500
-Pawe panafikika kirahisi
Kama unacho nichek: 0765 494548 chap chap tufanye biashara
[emoji28][emoji28]Kuitafuta tambarare kimara sawa na kutafuta bikra wodi ya wazazi
Kimara yote Hadi mbezi Kuna milima na miinukoTambarare Kimara, hell not!
15 m mkuuuna bei gan mzee
Karibu boñyokwa utoke vigimbi chap
Kuitafuta tambarare kimara sawa na kutafuta bikra wodi ya wazazi
sawa15 m mkuu