natafuta kiwanja cha bei rahisi

Doi

Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
23
Reaction score
1
msaada kwa yeyote anaejuwa viwanja/kiwanja nnahitaji kununua jaman niondokane na adha ya kupanga,bei isizidi 2m mana kutokana na mshahara wangu naruhusiwa kukopa kiasi kidogo tu.maeneo ya ubungo kibabgu,kitunda,bunju,kokote sichagui ili mradi miundo mbinu iwe ishaanza kufikiwa,
Natanguliza shukrani
waweza wasiliana nami kwa
doimwanza@yahoo.com
 
Utapata ukiwa sirias hata kesho maeneo ya kitunda tuma sms 0763150550
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…