Natafuta kiwanja Bukoba mjini

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,556
Wanajamvi, ..yeyote aliye na kiwanja ama mwenye kujua viwanja vinakopatikana maeneo ya Bukoba mjini tafadhari anisaidie kwani nahitaji sana

0753252677 tuongee ama ni pm

Nashukuru sana!
 
Wanajamvi, ..yeyote aliye na kiwanja ama mwenye kujua viwanja vinakopatikana maeneo ya Bukoba mjini tafadhari anisaidie kwani nahitaji sana

0753252677 tuongee ama ni pm

Nashukuru sana!

Yaani unataka BK mjini - CBD ama vitongoji vya Bukoba funguka tukusaidie
 
Yaani unataka BK mjini - CBD ama vitongoji vya Bukoba funguka tukusaidie

Maeneo ya hapo mjini mkuu,namaanisha nshambya,ihungo,buyekera kashabo,hamgembe,rwamishenye,kule stand mpya,rugambwa n.k ..isiwe mbali sana kutoka mjini
 
Wasibota,wagiramayo.
 
Ogye ardhi /mipango miji, omumradi gwe biwanja aina abatalipile, wakukwasa mara omubei ndungi. Nyee nyinakyo Nshambya kyonka abantu bakyali harai, toina kutulayo mwaa.
 
Tulimu ntufa ntwanga ..okwo muta?

agandi...
ndugu yangu mi mmakonde sema salam hainitupi lol.
haya wanabukoba afya muhimi mayai kuku wa kienyeji kama kuna mfugaji mniunganishe naye.
naishi custom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…