Natafuta king'amuzi cha startimes,nina 40000

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
wakuu,kama tangazo linavojieleza.

0765050591
 
Mimi pia nahitaji napatikana Mbeya Moshi au arusha. urgent kidogo
 
nami pia kikipatikana pamoja na antene yake kwa elf 40 icho cha star time naitaji wadau nipo Dar es salaam
 
Mimi natafuta X MASTER , mwenye nacho kwa bei poa tuwasiliane. Hapo dstv ni bure kabisa, multichoice wajitayarishe kupotea kwenye soko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…