We sio mwandishi Wa habari !wewe ni "Muwandishi Wa habari" MP-badala ya PM, ...Uwandishi wa habari badala ya Uandishi Wa habari...One thing itakusaidia ata kupata kazi..."Re-chek before you send" ikiwezekana hata barua zako za kazi mpe rafiki yako unaemwamini apitie...Remember "Smart people always get jobs" ulikuwa hupati sababu we sio smart ...Good lucky ..