Mkuu nami nataka nilime ila mtaji wangu mdogo sasa ni kilimo gani kinaweza kuwa NA tija na nikapata fedha za kujikimu na nikafaidika ...
Nami nimehitimu diploma ya business hapa dar es salaam...
Naombeni msaada ktk hili kwani nataka nilime ,nina ardhi hapa dar es salaam-MKURANGA EKARI 10...
kaa bench(sub) kwanza wa2 tumemaliza 2012 bado tupo mtaanii,,,,kama vipi sugua bench na shuhuri ndogondogo ukifikiria ajira sa ivi hauna at transcript uatapata bp ya bure
Kwa kuanzia tikiti yaweza kukufaa kilicho na gharama zaidi ni mbegu,
au unaweza ukakomaa ukafanya kilimo cha mbogamboga into large scale ukapambana kutafuta soko,
na mwisho kabisa,mkodishie mtu heka tano hiyo pesa ya malipo unaweza kutumia kulima heka tano zilizobakia..
Mkuu nami nataka nilime ila mtaji wangu mdogo sasa ni kilimo gani kinaweza kuwa NA tija na nikapata fedha za kujikimu na nikafaidika ...
Nami nimehitimu diploma ya business hapa dar es salaam...
Naombeni msaada ktk hili kwani nataka nilime ,nina ardhi hapa dar es salaam-MKURANGA EKARI 10...
Ajira za kilimo ni nyingi mkuu hebu nenda zoomtz ukaone zilikuwepo nyingi ila cjui kama deadline ilisha kata if possible ntafute nkuelekeze. rayman.mwangosi@yahoo.com