Hi,jamani nisaidieni natafuta kazi ya kufundisha,au hata customer care kwani nimechoka kukaa home,naangaika kweli kutafuta kazi.nina bachelor in education with science.

Wewe acha mambo yako ya kutaka kukaaa ofisi zenye viyoyozi, Hebu nenda kafundishe huko!
Kazi zipo shida yako unachagua mno. Ni kwa nini kama uliamua kusoma ualimu usiamue pia na kufundisha?

nani aliyekwambia nataka kwenye viyoyozi! natafuta hizo hizo za kufundisha na wala cjachagua kazi ,kama wewe unajua sehemu wanahitaji mwalimu wa bios and chem, tell me,sio unajishaua kusema tu kazi zipo.