O only girl Member Joined Mar 7, 2014 Posts 9 Reaction score 1 Mar 7, 2014 #1 Salam kwenu wana JF Natafuta kazi iwe ya stationary, sekretary au reception . Nina uzoefu wa miaka (3) Au hata ya kufanya usafi maofisini au kuuza duka lolote me nafanya bora nipate rizki ilio halali. Nategemea ushirikiano wenu
Salam kwenu wana JF Natafuta kazi iwe ya stationary, sekretary au reception . Nina uzoefu wa miaka (3) Au hata ya kufanya usafi maofisini au kuuza duka lolote me nafanya bora nipate rizki ilio halali. Nategemea ushirikiano wenu
M Man tindwa JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 301 Reaction score 43 Mar 8, 2014 #2 Elimu yakoni kiwango gani jaribu kuaply tanesco wametoa nafasi za watu wa usafi pia
O only girl Member Joined Mar 7, 2014 Posts 9 Reaction score 1 Mar 8, 2014 Thread starter #3 Man tindwa said: Elimu yakoni kiwango gani jaribu kuaply tanesco wametoa nafasi za watu wa usafi pia Click to expand... Elimu yangu kidato cha nne . Nashukuru kwa mawazo yako ubarikiwe
Man tindwa said: Elimu yakoni kiwango gani jaribu kuaply tanesco wametoa nafasi za watu wa usafi pia Click to expand... Elimu yangu kidato cha nne . Nashukuru kwa mawazo yako ubarikiwe